Tanzania emblem
Jamhuri ya Muungano wa Tanzania

National Ranching Company Limited - NARCO

Samadi ya Kongwa

Hii ni samadi ambayo hutokana na vinyesi vya ng’ombe, mbuzi na kondoo kutoka katika Ranchi za NARCO.Hii ni miongoni mwa mbolea ambazo wakulima wengi wanaweza kumudu kirahisi. Mbolea ya Kongwa Manure huweza kutumika katika mashamba makubwa, bustani za mboga na maua.