Tanzania emblem
Jamhuri ya Muungano wa Tanzania

National Ranching Company Limited - NARCO

dg name

Proffesa Peter Msoffe

Mtendaji Mkuu

Wasifu

Mkurugenzi Mtendaji

Nawasalimu kwa jina la Jamhuri ya Muungano wa Tanzania! Kwa niaba ya Kampuni ya Ranchi za Taifa Ltd (maarufu kama NARCO), mzalishaji pekee wa nyama pendwa ya Kongwa Beef nakukaribisha sana katika tovuti yetu hii mahsusi. Kupitia tovuti hii utaweza kupata taarifa mbalimbali na za uhakika zinazoihusu Kampuni ya Ranchi za Taifa na juhudi zetu katika kuongeza ufugaji wenye tija na uendelezaji wa biashara ya mazao ya mifugo hapa Tanzania na nchi za nje. Kupitia tovuti hii utapata taarifa sahihi juu... Soma zaidi

dg name

Mhandisi Cyprian Luhemeja

Mwenyekiti wa Bodi

Wasifu